-->

Abdukiba Afunguka Kuhusu Kufanya Kazi WCB

Msanii Abdukiba ambaye ni mdogo wa Alikiba amefunguka na kusema kama ikitokea WCB Wasafi wakataka kufanya kazi na yeye inawezekana kwani yeye anaangalia mpunga (pesa) zaidi,hivyo kama watakuwa na pesa za kutosha na makubaliano mazuri anaweza kufanya kazi chini la Label hiyo ya ‘WCB Wasafi’

ABDULI

Abdukiba amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio baada ya moja ya shabiki kutaka kufahamu kama ikitokea WCB wakiataka kufanya naye kazi atakuwa tayari? ndipo hapo aliposema yeye anaangalia pesa hivyo kama pesa zitakuwepo na wakihitaji kufanya naye kazi anaweza kufanya kazi chini la label hiyo ya WCB Wasafi.

Mbali na hilo msanii huyo amesema kuwa Kiba Square inarudi muda si mrefu kutoka sasa kwani zilikuwa zinasubiriwa kazi ya Alikiba ‘Aje’ pamoja na hii kazi yake yeye mpya ‘Bayoyo’ ila baada ya hapo ndipo project zile za Kiba Square zitakuja.

eatv.tv

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364