-->

Ali Chocky na Madai ya Kuihama Twanga

Msanii wa Muziki wa Dansi Bongo ambaye kwa sasa anapiga mzigo na Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’,  Ali Chocky amezima madai yaliyokuwa yakienea chini kwa chini kuwa, ana mpango wa kuihama bendi hiyo.

choki

Akizungumza na safu hii hivi karibuni, Chocky alisema kuwa, wanaoeneza madai hayo wana sababu zao ila mashabiki wake wajue tu kuwa yeye yuko Twanga hadi mwaka 2018 kutokana na mkataba wake.

“Mkataba wangu hapa Twanga unaisha mwaka 2018, sasa hao wanaosema nahama Twanga sijui wanatoa wapi hizo habari,” alisema Chocky.

Chanzo:GPL

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364