-->

Alikiba Azungumzia Tuhuma Kuhusu Diamond Kuzuia Nyimbo MTV BASE

diamond289

Baada taarifa kusambaa kwe ye mitandao ya kijamii ikisemekana Diamond Platnumz kuwa ndio anayehakiki kazi za wanamuziki wa Bongo ili ziweze kuchezwa MTV Base, sasa mwanamuziki Alikiba amefunguka hivi.

“Nitawaambia ukweli ambao unaohusu that it, kama ni kweli watakuwa wanakosea na sidhani kama ni sawa coz watakuwa hawapo fair.”Alikiba

“Hajabeba talent ya kila mtu, kila mtu ana talent yake, ana haki ya kuonyesha kazi yake coz kila mtu anafanya business ya muziki sasa hivi sio mtu anafanya masihara, na unapomuona mtu anafanya video yake anagharamikia so haipendezi na sidhani kama ni kweli.” Alikiba

Cloudsfm.com

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364