-->

Tag Archives: ALIKIBA

Ali Kiba Asaini Mkataba na Sony Music, Sout...

Post Image

Staa wa Bongo Fleva, Ali kiba amesaini mkataba leo na kampuni ya Sony Music jijini Johannesburg,South Africa, moja ya vitu vilivyomo kwenye mkataba huu ni kampuni hii kubwa ya muziki duniani kusimamia pia video zake na audio kwa kuzilipia na kuzifikisha kwenye masoko makubwa ya muziki duniani. Ali Kiba ameungana na mastaa wengine duniani waliosign […]

Read More..

Ali Kiba: Serikali Iweke Mkono Bongo Movie

Post Image

MWANAMUZIKI Ali Saleh Kiba amesema ingekuwa jambo zuri kama wasanii wa Bongo Movie watapewa nguvu zaidi na serikali. Kiba ameyasema hayo wakati akizungumzia ushindi wa Watanzania Single Mtambalike ‘Rich Rich’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati wa tuzo za African Magic People’s Choice Awards zilizofanyika katika Hoteli ya Eko kwenye Kisiwa cha Victoria jijini Lagos, Nigeria, […]

Read More..

Baada ya Lupela, Alikiba Kuja na Hii

Post Image

Msanii Ali Kiba ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake mpya ya Lupela amefunguka na kusema kazi nyingi zinakuja ila kwa sasa atatoa kazi na wasanii kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Akipiga stori kupita kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV Ali Kiba amesema baada ya kazi yake hii inayotamba […]

Read More..

‘Simba’ Amfanya Alikiba Ashindwe Kufany...

Post Image

Jana pande za SlipWay ,Ali Kiba alizindua video yake ya Lupela lakini mipango yake ilikuwa ni kufanya uzinduzi wa video hiyo kwenye mbuga za wanyama. ‘’Nilitamani sana kwenda kufanya ndani ya mbuga ili I’make sense’ zaidi ili ‘honey’ wangu Lupela ainjoy zaidi lakini kiukweli ilikuwa ni uoga wangu tu,asije akatokea simba halafu Lupela akafia pale […]

Read More..

Ali Kiba Kutoka Upya na Lupela

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Ally Kiba, amesema wimbo wake mpya wa ‘Lupela’ atauachia mwishoni mwa mwezi wa nne. Wimbo huo ambao video yake imefanyika nchini Marekani, utaachiwa rasmi mwezi wa nne, ukiwa ni sehemu ya mradi wa Wild Aid ambao msanii huyo ni balozi wake. Haijajulikana kama wimbo huo ni sehemu ya kampeni hiyo, […]

Read More..

Alikiba Azungumzia Tuhuma Kuhusu Diamond Ku...

Post Image

Baada taarifa kusambaa kwe ye mitandao ya kijamii ikisemekana Diamond Platnumz kuwa ndio anayehakiki kazi za wanamuziki wa Bongo ili ziweze kuchezwa MTV Base, sasa mwanamuziki Alikiba amefunguka hivi. “Nitawaambia ukweli ambao unaohusu that it, kama ni kweli watakuwa wanakosea na sidhani kama ni sawa coz watakuwa hawapo fair.”Alikiba “Hajabeba talent ya kila mtu, kila […]

Read More..

Picha 5 za Shoo ya Funga Mwaka ya king Kib...

Post Image

Usiku wa kuamkia leo, mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba aka Balozi wa wanyama alifanya shoo kubwa ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016 mjini machakos nchni Kenya. Akiwa na wacheza shoo wake, 4real Dancers  balozi king Kiba alifanya shoo kali ya kihistoria jionee

Read More..

Hivi Ndiyo Wema na Jokate Walivyopokelewa S...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba juzi pande za Escape One, Mikocheni alifanya shoo ya kuwaaga mashabiki wake kwa mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka Mpya 2016 ambapo aliitambulisha rasmi bendi yake mpya iitwayo 4RealDancers. Shangwe kubwa lilisikika pale  ambapo King Kiba alipowa ‘surprise’ mashabiki wake  kwakuwapandisha stejini mastaa warembo, Wema Sepetu na Jokate ‘Kidoti’ kama […]

Read More..