-->

Alikiba Kuachia Wimbo Huu Mpya

Alikiba anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina ‘Aje.

kiba677

Hajasema wimbo huo utatoka lini lakini dalili zinaonesha kuwa unaweza ukaachiwa mwezi huu.

Huo unakuwa wimbo wake mpya mwenyewe tangu aachie Lupela. Kwa sasa Kiba anafanya vizuri na wimbo aliofanya na Sauti Sol, Unconditionally Bae.

Bongo5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364