Aunt Ezekiel: Nipo na Nitaendelea Kuwepo
MSANII nyota wa kike wa filamu Bongo Aunt Ezekiel amefunguka kwa kusema kuwa yupo na ataendelea kuwepo katika tasnia ya filamu kwani ndio kazi inayompatia maslahi na heshima kama msanii mwenye hadhi kubwa.
Nipo na nafanya kazi zangu za filamu kama kawaida sijapotea katika game kama wengine wanavyosema tena mwaka huu nimetoa kazi nyingi tu na zinatikisa,”anasema Aunt.
Msanii amesema kuwa mara nyingi anapenda watu wamsikilize yeye na si maneno kutoka kwa watu ambao upenda kumuongelea yeye bila idhini yake hivyo kwa sasa yupo kikazi zaidi na ameshatoa filamu kama Saa Mbovu, My Family na nyinginezo.
FC
NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:
Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.
KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:
Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.
Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA