-->

Baraka Afunguka Kuhusu Naj

Siku chache baada ya Enewz kuzinyaka tetesi zinazomuhusisha msanii wa bongo fleva Baraka da Prince kuwa na mahusiano na wasanii wa kike tofauti tofauti, mapya yameibuka kuhusiana na sakata hilo.

baraka78

Hivi sasa E-News yapata fununu za Baraka kuhusishwa kimapenzi na msanii Naj.

Hili limekuwa jipya kwa E-newz na kutaka kufahamu juu ya msanii huyo kuonekana kuwa karibu sana na Naj ambapo Baraka amezungumzia ishu hiyo na kusema kuwa yule msichana aliyeonekana naye kwenye picha katika mtandao wa kijamii wa Instgram hakuwa Naj ila watu wamemfananisha.

Na kuhusu matusi na maneno mazito wanayomshushia mashabiki zake kupitia mitandao ya kijamii Baraka amesema anapo post chochote katika mtandao huwa hasomi Comments zinazoandikwa hivyo hayo matusi yote hayamfikii.

 

Eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364