-->

Bongo Movie Ina Kufa, Ni Swali Ninalokutana Nalo Kila Siku- JB

jb06

Kuna swali nakutana nalo kila siku, bongo movie ina kufa. nataka niwaambie. ..bongo movie inapita katika kipindi ambacho tasnia zingine zilipita. ..kipindi ambacho hutokea baada ya kutamba kwa muda watu hutaka kuona vitu vipya. ..kama waliokuwepo wakishindwa kuleta ubunifu mpya basi wao watakufa kisanii na watu wapya watateka soko. ..llakini tasnia haitakufa. ..angalia katika b,fleva kuna wakati nayo ilikuwa hivyo wasanii waliokuwa wanatamba walipotea wachache wakabaki wapya wakaja. ..mziki wa dansi pia bendi chache zimebaki kuungana na ujio mpya wakina yamoto. ..hivyo hii ni kawaida… sanaa yoyote moyo wake uko kwenye ubunifu. …ukishindwa unatoka. ..na wakati mwingine ubunifu mpya huchukua muda..mfano ..imemchukua zaidi ya miaka5 koffi kurudi kwenye chat. ..

JB @ jb_jerusalemfilms on Instagram

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364