-->

Bongo Movies Kuonyeshwa Kwenye ‘Portable Cinema’

Mwaka mpya mambo mapya, Steps Entertainment imeleta portable cinema ambayo inawawezesha wapenzi wa filamu kujionea filamu kwenye screen kubwa ikiwafata mtaani.

Jionee picha hizi za hivi karibu kwenye viwanja vya jangwani.

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364