-->

Chege Awapa Makavu Hawa, Wanaoiamishia Ramadhani Mtandaoni

Msanii wa Bongo fleva Chege Chigunda amefunguka dhidi ya watu wanaouhamishia mwezi wa Ramadhan katika mitandao ya kijamii.

chege89

Akizungumza na Enewz Chege alisema kuwa kwa Bongo watu wanakuwa wanapoteza maadili ya dini kwasababu siku hizi miezi hii ya Ramadhani imehamia instgram kitu ambacho wengi wanakosea.

“Funga siyo kujikwida sijui manini sijui kufunga ni imani na kusali ni imani pia mwezi wa Ramadhani hauna kitu ambacho kama haujafanya hivyo haujafunga mimi nimefunga kwakuwa kinachofunga ni imani yangu na roho tusimuigizie Mungu tuwe wakweli tusifanye kwa kumuogopa fulani”, alisema Chege.

eatv.tv

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364