-->

Dancer WCB mwenye miaka 19 ameeleza jinsi alivyopata shavu WCB

Angel Nyigu ni Dancer wa msanii Queen Darleen ambaye yupo kwenye Record Label ya WCB ana umri wa miaka 19 ameelezea jinsi alivyopata nafasi ya kuingia WCB na jinsi alivyoanza kuwa Dancer na matamasha makubwa aliyowahi kupanda stejini na kuonesha uwezo wake.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364