-->

Davina Amtolea Uvivu Mwandishi wa Stori Hii ya Uongo

DAVINA32

Kufuatia gazeti moja la udaku kuandika stori ya uongo juu yake, Staa wa Bongo Movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amemtolea uvivu muandishi wa stori hiyo kupitia ukurasa wake mtandaoni.

DAVINA54

Hivi nyie waandishi wengne hv kwann hamnaga utu lini nimeongea na wewe lini? zuwenanyembo na ktk story umeandika nimekutaja mpk jina me nakujua ww? Wkt mwingne mnasemaga hatudumu ktk ndoa wasanii lkn wkt mwingne nyie mnasababisha hivi kweli Mwanaume gn ataona mwanamke wake unatolewa story km hii akakuelew? Hyo mimba ulinipima? Mmezushaa wee ya Mike mpk kaamua kuwaonyesha mchumba wake lkn bdo mnamuandama haya huyo mchumba anaona huo ujinga hapo atajickiaje maskin haya Bosco ndo nani jmn ungeandika bac hata full name umetunga tu jina na kuandika I see?…Hyo mimba mmenipima na ya nn mie au hujui hata km nina watoto wa kutosha nisiekaa nikasomesha na mimba tena ya wanaume wawili…muwe na Utu bac msitumie kalamu yenu vbaya..uwe na uhakika na unachoandika ww unapata PESA mimi UNANIHARIBIA ni DHAMBI jmn……??? I hate u 4 this

 

Davina

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364