-->

Tag Archives: DAVINA

Ester Kiama, Davina Watibuana kisa, Upatu

Post Image

Mastaa wa filamu Bongo, Ester Kiama na Halima Yahya ‘Davina’ juzikati walitifuana kwa kutupiana maneno makali kupitia kundi lao la Mtandao wa WhatsApp kisa, kikiwa ni mchezo wa upatu. Sosi ambaye ni memba wa kundi hilo alidai kuwa, wawili hao pamoja na mastaa wengine wana mchezo wao wa kupeana pesa ‘upatu’ lakini siku hiyo Ester […]

Read More..

Sipendi ‘Scenes’ za Kushikwa Sh...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu, Halima Yahya maarufu kama Davina, amesema katika maisha yake ya sanaa ya uigizaji hapendi scenes za mapenzi hasa hasa zile zinazomtaka aonekane akishikwa shikwa kitandani. Muigizaji huyo ambaye ni mama wa watoto watatu, amekiambia kipindi cha Papaso cha TBC FM kuwa scenes hizo humpatia wakati mgumu wakati anapopewa ili avae uhusika. […]

Read More..

Davina Amtolea Uvivu Mwandishi wa Stori Hi...

Post Image

Kufuatia gazeti moja la udaku kuandika stori ya uongo juu yake, Staa wa Bongo Movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amemtolea uvivu muandishi wa stori hiyo kupitia ukurasa wake mtandaoni. Hivi nyie waandishi wengne hv kwann hamnaga utu lini nimeongea na wewe lini? zuwenanyembo na ktk story umeandika nimekutaja mpk jina me nakujua ww? Wkt mwingne mnasemaga […]

Read More..

Davina: Nimezaa Sijazeeka na Bado Nalipa

Post Image

Staa wa Filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amedai kuwa kuzaa siyo kuzeeka kama wasanii wengine wanavyodhani bali ni kupata heshima na kupendeza kama alivyonawiri yeye. Akizungumza na Ijumaa, Davina alisema kuwa yeye ni mama wa watoto lakini kila kukicha anazidi kupendeza na kuonekana ‘kigori’ tofauti na watu wanavyodhani. “Unajua kuna baadhi ya watu wanadiriki […]

Read More..