-->

Diamond platnumz afikiria kununua nyumba mpya nje ya Tanzania na Afrika Kusini

Bongofleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa ambao wameahidi mwaka 2018 tutarajie vitu vingi kutoka kwao, Diamond akiwa ameanza na kutuonyesha headquarters mpya za WCB .

Ukitaja  nyumba anazomiliki Diamond Platnumz kiukwelihuwezi kuacha kutaja nyumba yake ya Afrika Kusini na Tanzania lakini inatajwa kuwa ana nyumba raidi ya moja na kwa sasa anafikiria kununua nyumba nyingine Kigali Rwanda.

kupitia ukurasa wake wa instagram ameonyesha kutaka kuishi Kigali Rwanda tofauti na kuwa na nyumba Afrika Kusini na Tanzania Diamond amepost picha ya mji fulani na kuandika “natafuta nyumba ya kununa Kigali nyumba yangu ya baadae kwa ajili ya simbas !! familia yangu ya Rwanda mna mchango wowote??

Mtajua hamjui! Diamond Platnumz’s buys new WCB mansion worth your university fees

 

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364