-->

VIDEO MPYA; Yemi Alade – Go Down (Official Video)

Msaani wa Nigeria katuletea nyimbo mpya ya kuburudisha. Yemi Eberechi Alade,anajulikana kwa majina Yemi Alade, ni mwanamziki wa nigeria Afropop .alishinda tunzo ya Peak Talent Show mwaka 2009, na anajulikana kwa nyimbo yake maarufu ya  “Johnny”.

click play utazame video mpya:

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364