-->

Filamu ya Catherine ni Hatari Hapa Wolper, Madee Huku PHD

KAMPUNI ya PDM Movie ya jijini Dar es salaam inarajia kutoa bonge la filamu kali na ya kusisimua ijulikanayo kwa jina la Catherine akiongea na FC mkurugenzi wa kampuni hiyo Saprima amesema kuwa sinema hiyo ni nzuri sana na inatoa mafunzo kwa jamii kwani wasanii walioshiriki katika filamu hiyo wenye vipaji.

CATHELINE-PDM

“Catherine ni filamu nzuri sana kwani unakutana na wasanii kama Jack Wolper, Hemed Suleiman Phd, na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Madee pamoja na wasanii wakali katika tasnia hya filamu Bongo,”anasema Saprima.

Phd mwigizaji wa filamu ya Catherine

Phd mwigizaji wa filamu ya Catherine

Sinema hiyo ambayo imerekodiwa katika ubora wa hali ya juu na ushindani wa vipaji kutoka kwa wasanii hao imekamilika na ipo tayari kuingia sokoni siku ya Jumatatu tarehe 21. December. 2015 kwa wale wanaohitaji wawasiliane Pdm Movie kwa namba +255 (0) 689 242 242 au 0713 055 555. Nunua nakala Halisi.

Madee mwigizaji wa filamu ya Catherine

Madee mwigizaji wa filamu ya Catherine

FC

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364