-->

Filamu ya Kibonge Mtata Kutikisa Mtaa Jumatatu!

KIBONGE45

KAMPUNI ya Splash Entertainment inatarajia kuachia filamu kali na ya kusisimua jumatatu wiki ijayo tarehe 01.February .2016 ijulikana nayo kwa jina la Kibonge mtata kazi ambayo msemaji wa kampuni hiyo Steve Selengia anasema itakuwa mwanzo mzuri katika kufungua mwaka huu.

“Tumejipanga katika kuhakikisha kuwa sinema yetu ya Kibonge Mtata inamfikia kila mdau wa kazi za Kibongo na imechezwa vizuri na masataa wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu Bongo, kitu cha msingi wapenzi wa filamu kununua nakala halisi,”anasema Steve.

Filamu ya Kibonge Mtata ni kazi ya aina yake na kwa upande wa washiriki kuna wasanii wakali kama Zuber Mohamed ‘Niva’, Salum Haji ‘Mboto’, Riyama Ally, Asha Boko na wasanii wengine wakali wanaofanya vizuri katika soko la filamu na inasambazwa nchi nzima.

FC

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364