Filamu ya ‘Nani Zaidi’ Kuingia Sokoni Wiki Ijayo
Filamu ya ” Nani Zaidi ” Inatoka Jumatatu Ya Tarehe 19 September 2016.
Kuwa Wa Kwanza Kupata Nakala yako Original.
Wahusika ni
– Hemedy Suleiman
– Tino Muya
Na Wasanii Wengine wakali.
Kamwe Usikubali Kununua Filamu ya ” Nani Zaidi ” kama Hanina Nembo ya Steps Entertainment LTD.
Pia Kampuni Ya Steps Entertainment LTD Inatafuta Mawakala Wa kuuza Filamu za Kitanzania.