Mwanamitindo maarufu ambaye pia ni muuza nyago kunako video za wasanii Bongo, Hamisa Mobbeto,amejifungua mtoto wa kiume leo.
![](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2017/08/hamissa-mobeto.jpg)
Kupitia mtandao wa instagram mama yake mzazi na hamissa ameweka picha hii hapa chini na kuandika
“Alhamdulilah mume wangu mie peke angu”
Comments
comments