-->

Haya Sasa, Johari Asaka Mchumba

Msanii mwigizaji mkongwe wa bongo movie Johari Blandina Chagula amesema kwa sasa anatafuta kijana wa kuwa naye katika maisha.

JOHARI65

Msanii huyo ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano maalum na kipindi cha ENews kinachorushwa na kituo cha EATV.

‘Mimi kwa sasa nipo mwenyewe (Single) akitokea kijana mwenye malengo na mwenye dhamira ya kweli nipo tayari kuwa naye”Amesema Johari.

Eatv.tv

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364