-->

Tag Archives: JOHARI

Mwigizaji Johari Kuokoka!

Post Image

  MWIGIZAJI ‘mhenga’ Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedai kubadili mfumo wa maisha yake na kuahidi kuokoka ili kujiweka karibu na Mungu, ikiwa ni pamoja na kuachana na maisha ya ajabu kama matumizi ya pombe. Johari aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, amebaini maisha ni mafupi duniani hivyo ni vyema kujisafishia njia na kumrudia Mungu ambaye ndiye mwokozi […]

Read More..

Haya Sasa, Johari Asaka Mchumba

Post Image

Msanii mwigizaji mkongwe wa bongo movie Johari Blandina Chagula amesema kwa sasa anatafuta kijana wa kuwa naye katika maisha. Msanii huyo ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano maalum na kipindi cha ENews kinachorushwa na kituo cha EATV. ‘Mimi kwa sasa nipo mwenyewe (Single) akitokea kijana mwenye malengo na mwenye dhamira ya kweli nipo tayari kuwa naye”Amesema […]

Read More..

Johari: Nimemchuna Sana Ostaz Juma Namusoma

Post Image

Mkongwe kwenye sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amevunja ukimya na kuweka bayana kuwa miaka kadhaa iliyopita aliwahi kumchuna sana Mkurugenzi wa Kampuni ya Watanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma alipokuwa akimhitaji awe mchumba wake. Johari alifunguka hayo hivi karibuni baada ya mwanahabari wetu kumfungia safari hadi ofisini kwake Sinza-Mori, jijini Dar es Salaam na kumuuliza […]

Read More..

Afya ya Johari Yashtua Wengi!

Post Image

KUNENEPEANA! Na ‘kuumuka’ kwa muigizaji wa muda mrefu, Blandina Chagula ‘Johari’ kumezua gumzo na mishangao kwa wadau wengi wa filamu na burudani huku wakihoji kwa undani mabadiliko hayo ya ghafla kwani siku chache zilizopita Johari alikuwa habari ya mjini kutokana na kudhoofika kwa afya yake. Wakizungumza na Amani hivi karibuni, baadhi ya mashabiki na wasanii […]

Read More..

Chuchu Hans Akanusha Kugombana na Johari Ki...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Chuchu Hans amekanusha kugombana na Johari Chagula baada kuibuka madai kwenye mitandao ya kijamii kuwa wawili hao hawaelewani kisa Vicent Kigosi aka Ray.   Chuchu aliyesema pia kuwa uhusiano wake na Ray hauna tatizo, amekiambia kipindi Take One cha Clouds TV Jumanne hii kuwa, hana tatizo na Johari na mara nyingi […]

Read More..