-->

Hiki Ndicho Kilichosababisha Jina Kabula Kunchanyangikiwa

Msanii wa muziki Issabela Mpanda ambaye ni rafiki wa Karibu wa Mariam Jorwa au jini Kabula ambaye hivi karibuni amepata matatizo ya kurukwa na akili, ameweka wazi kilichomsababishia shoga yake huyo kuchanganyikiwa.

Akizungumza na mwandishi wa eatv, Issabela amesema daktari ambaye anamtibia Kabula amesema kuwa rafiki yao alikuwa na msongo wa mawazo, lakini kwa sasa yuko sawa.

Pia Issabela ameweka wazi kile ambacho Watanzania wengi walikuwa hawakifahamu kuhusu ugonjwa na matibabu ya Kabula, na kuhusu mtu ambaye amekamatwa kwa kufanya tukio la uhalifu au uvunjaji wa sheria juu ya Kabula.

 

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364