-->

Idriss Mapenzi Yamtesa Sasa Amkumbuka X- Wake Walioshiriki Shindano la Big Brather

Mshindi wa Big Brother Afrika 2014 Idris Sultan ameonyesha kumkumbuka mpenzi wake wa zamani aliyempata wakati wakishiriki shindano la Big Brother 2014 ambaye ni Samantha Jannsen ambaye anatokea nchini Afrika Kusini.

Idris amepost video clip kwenye Instagram page yake akiwa na Samantha licha ya kwamba Idriss na Samantha wameachana miaka kadhaa iliyopita na kuandika hivi “The beauty & the beast… Happiest birthday to the beast ?? @samanthajannsen”

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364