-->

Ikulu Yakanusha Taarifa ya Serikali Kufuta Mitandao ya Kijamii

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa ameikanusha taarifa inayosambaa ikionyesha kuwa serikali inatishia kuifuta mitandao ya kijamii.

Taarifa hiyo iliyoonyesha imeandaliwa na Ikulu, ilieleza kuwa serikali haitasita kuifuta mitandao ya kijamii iwapo itabaini kuwa yote yanayoendelea hayana tija.

“Serikali inafuatilia kwa karibu yote yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, na endapo itabaini haina tija,

Msigwa baadaye aliandika katika ukurasa wake wa Twitter akiwataka watanzania waipuuze taarifa hiyo kwa kuwa ni feki.

Chanzo:Mwanachi

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364