-->

JB Awataka Radhi Mashabiki

jb43

JB

MKALI wa filamu za kibongo, JB amewaomba radhi mashabiki wake kwa mkosa mbalimbali ya kiufundi ambayo
yalitokea kwenye baadhi ya kazi zake mwaka uliopita na amewataka waendelee kumuunga mkono mwaka huu.

‘Niwashukuru mashabiki wangu kwa kuendelea kuniunga mkono hasa kwenye filamu yangu ya Chungu cha Tatu ambayo nimeiachia wiki chache zilizopita nawaahidi kazi nzuri zenye ubora zaidi mwaka huu,’ aliandika JB kwenye ukurasa wake wa Facebook.

 

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364