-->

JB Huwa Anatumia Jina Hili Kwenye Kazi za Kitapeli

JB  na Diana Kimaro

JB Akiwa na Diana Kimaro

Erick ford, ni jina ninalo litumia kwenye filamu zangu za kitapeli, ni muendelezo wa filam za kitapeli ninazo zifanya mara kwa mara. Nilianza na Signature ikafuata Senior Bachelor halafu Mzee wa Swaga kote nilitumia Erick ford.

Mwezi wa pili tutakuja na filamu ya namna hizo inaitwa…Kalambati Lobo, safari hii nimemshirikisha Diana kimaro.

Jacob  Stephen ‘JB’ @ jb_jerusalemfilms on Instagram

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364