Kitazame Kipindi cha SCARS Ndani ya StarSwahili
Maisha ya binadamu ni safari ndefu tunayoweza kufananisha na barabara yenye milima na mabonde na vikwazo vingi sana. Vikiwazo na matatizo hayo hupelekea kutoa uhai kama si kuhatarisha maisha .
Haya yote utayakuta ndani ya StarSwahili.Ni matukio ya kweli na Halisi yatakayo gusa hisia zako na kukufunza.Kujua zaidi.
Angalia Trailer hapa
https://www.facebook.com/TZStarTimes/
https://www.instagram.com/startimestz/