-->

Kiapo Chamtesa Esha Buhet

Kiapo cha kutochora tena michoro (tattoo) katika mwili wake, alichokitoa msanii wa filamu Bongo, Esha Buhet, kinamtesa baada ya kukikiuka kwa kujichora mkubwa zaidi ya hapo awali.

ESHA782

Akizungumza na mwandishi wetu juzikati, Esha alisema alikula kiapo cha kutojichora mwili wake, lakini amelazimika kukivunja baada ya kuamua kumuenzi mama yake mzazi.

“Nimefanya hivyo kwa ajili ya mama yangu, nimeona sina sehemu ya kumuweka zaidi ya mgongoni kwangu tena kwa maandishi,” alisema Esha.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364