-->

Masanja: Mimi Ni Mchungaji, Lakini Mbinguni Ng’o Sitaki Kwenda

MASANJA87

Emmanuel Mgaya, maarufu kama “Masanja Mkandamizaji” aliyejizoelea umaarufu katika fani yake ya uchekeshaji na kundi lake la “Ze Comedy” kwa sasa amegeukia kazi ya ushehereshaji na Uchungaji.

Katika moja ya Kazi yake hivi karibuni Masanja akiwa MC katika tukio fulani alitoa mpya baada ya kuwashangaa waimbaji wa Kigali-Rwanda wa kwaya ya “AMBASSADOR OF CHRIST” ambao walipata ajali wakiwa wanatokea Tanzania.

Masanja anasema inakuwaje waliomba kifo kwa wimbo wao wa “KWETU PAZURI” lakini Mungu alipowachukuwa baadhi ya wenzao wale waliobaki wakaimba wimbo wa “KWANINI UMEYARUHUSU HAYA” yaani kwanini kawachukua wenzao?

Masanja anasema Kwanini washangae wakati wao ndio waliomba kwenda “kwao pazuri walipopakumbuka? Kwao hakuna malaria wala magonjwa”.

Masanja anasema yeye hataki kabisa kwenda Mbinguni kwa sasa, bado yupoyupo.

Msikilize hapo;

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364