-->

Kujiunga na Vyama vya Filamu ni Lazima- TAFF

S.-Mwakifwamba-na-katibu-Elisante-531

Prof. Elisante akiwa na Mwakifwamba.

RAIS wa shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba amewataka wadau wote wa filamu kuhakikisha wanajiunga na vyama vya ambavyo vinajihusisha na utengenezaji wa filamu kwani ni lazima na wala si suala la hiari tena.

“Kwa sasa tutakuwa wakali sana lazima tuwe na mfumo unaofuata sheria hakuna mtu ambaye ataweza kufanya kazi bila kuwa na udhitisho wa vyama husika lazima tujiunge na vyama hivyo ili tuwe salama nje ya hapo sheria itachukua mkundo,”anasema Mwakifwamba.

Mwakifwamba anasema kuwa Taff imeweka utaratibu mzuri kwa ajili ya wasanii, waongozaji, watayarishaji na fani zote kwa kuwa na wanachama hai ambao mikakati inapangwa kuwawezesha kitaaluma katika fani zao, kwani muda si mrefu lazima tasnia itambulike kwa taaluma husika kwa mhusika.

fc

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364