-->

Tag Archives: TAFF

TAFF Imeunganisha Tasnia ya Filamu

Post Image

SIKU za nyuma kulikuwa na malumbano makali kati ya shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) na kundi la Bongo Movie Unity lilokuwa likiundwa na wasanii nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood na kuleta sintofahamu . Lakini kutokana na juhudi za Mwakifwamba pamoja na makamu mwenyekiti wake Deosonga Njerekela wamefanikiwa kuwaunganisha na sasa ni kundi moja wanaongea […]

Read More..

Picha: Uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la Fi...

Post Image

Mgeni rasmi wa Shughuli hiyo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mh. Nape Nnauye (katikati) akizungumza jambo wakati wa zoezi hilo. Mpinzani wa Mwakifwamba, Issa Hamis Kipemba (mbele) akizungumza jambo kabla ya uchaguzi kuanza. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania aliyekuwa akimaliza mda wake, Simon Mwakifwamba (kulia) na Makamu wake, Deosonga Njelekela wakiwa mbela […]

Read More..

Mwakifamba, Kipemba Kugombea Urais

Post Image

KAMATI ya Uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), imetangaza majina ya watakaogombea katika uchaguzi utakaofanyika katika Ukumbi wa Urafiki, Ubungo, Februari 20 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mathew Bicco, alisema uchaguzi huo utakuwa na nafasi tatu za kugombania ambazo ni urais, […]

Read More..

Mwakifwamba : Sitowaangusha Wazee Wangu, Ag...

Post Image

MGOMBEA wa nafasi ya Urais wa shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba amefunguka kwa kusema kuwa hatawaangusha wazee waliomwamini na kumuomba agombee tena uongozi TAFF baada ya kuwa na imani naye hivyo hata waangusha bali atafanya kazi kwa nguvu. “Ikumbukwe nilipanga mwaka huu kupumzika na kuangalia mambo ya kifamilia zaidi lakini wazee wangu ambo […]

Read More..

Kujiunga na Vyama vya Filamu ni Lazima- TAF...

Post Image

RAIS wa shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba amewataka wadau wote wa filamu kuhakikisha wanajiunga na vyama vya ambavyo vinajihusisha na utengenezaji wa filamu kwani ni lazima na wala si suala la hiari tena. “Kwa sasa tutakuwa wakali sana lazima tuwe na mfumo unaofuata sheria hakuna mtu ambaye ataweza kufanya kazi bila kuwa na […]

Read More..

Kupanda na Kushuka kwa Shirikisho la Filamu

Post Image

SHIRIKISHO la filamu Tanzania (TAFF) lipo kwa miaka kadhaa huku tukishuhudia changamoto nyingi zinazokabiri shirikisho hilo ambalo pamoja na kuanzishwa kwake ni chombo kisichotengeneza fedha kutokana na vyama vinavyounda TAFF kukosa miradi kama michango kutoka kwa wanachama wake. Taff imekuwepo kitambo lakini imekuwa Lulu baada ya kuanzisha michakato yenye tija kwa wasanii na wadau husika […]

Read More..

Tamko la Wasanii Wakongwe Kwa Rais Wa Shiri...

Post Image

  WASANII Wakongwe katika tasnia ya filamu Swahilihood leo tarehe 16Th December, 2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari ya Maelezo wametoa tamko lao kuhusu kumtaka Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba kugombea nafasi hiyo ambayo alitangaza kutoshiriki kugombea nafasi hiyo kwa kipindi kijacho uchaguzi huo mwezi huu 2015. Baada ya salamu […]

Read More..