-->

Kutana na Gabo Zigamba Akiwa na Niva Ndani ya ‘Kasanga Nae Mwana’(Official Trailer)

KASANGA523

Katika maisha inatupasa tuwe na subira na uvumilivu ingawa wakati mwingine shida inaweza kuwa mvumbuzi wa matatizo.Tunamshukuru Mungu kwa huyu mtoto alietupatia japo si damu yetu ila amekuwa faraja kwetu. KASANGA NAE MWANA.

Bongo Movies 2016-Kasanga Nae Mwana (Official Trailer)
Movie: Kasanga Nae Mwana
Production: King Media
Genre:  Comedy&Drama
Cast: Salim Ahmed, Zuber Mohammed
Release Date: 22 February, 2016
Distributor: Steps Entertainment

Subscribe kwenye channel ya Bongo Movies TV kwenye Youtube ujionee video nyingi zaidi za Bongo Movies

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364