-->

Masanja Azidi Kupaa Kibiashara Azindua Masanja Wali Nyama Tabata

MCHEKESHAJI wa Komedi kutoka Orijino Komedi Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji amezidi kujikita katika mkasuala ya biashara baada ya kufanikiwa kufungua mgahawa wa kisasa kabisa kwa ajili ya maakuli na kuwa kivutio kwa maeneo hayo.

MASANJA322

 

Masanja Mkandamizaji amezindua Mgahawa wake wa Kisasa kwa kuandaa sherehe za uzinduzi kwa kuwakaribisha wadau mbalimbali Mgahawa huo unaoitwa “Masanja Wali Nyama” upo maeneo ya Tabata Magengeni Karibu na Benki ya CRDB BANK.

Shughuli hiyo iliyo anza saa mbili usiku na kumalizika saa tano usiku, ilipambwa na waimbaji mbalimbali wa muziki wa injili akiwemo Miriam Jackson, Emmanuel Mbasha, Faraja Ntaboba, Mc Makondeko, Stella Joel pamoja na Wachungaji, Mitume na Manabii.

Huku pia wakiwepo wasanii waigizaji mbalimbali ambao walifika kwa ajili ya kumsapoti msanii huyo majasirimali ambaye licha ya kumiliki mgahawa huo Masanja pia ni mkulima mzuri mwenye mashamba ya kulima Mpunga makubwa tu, hivyo amezidi kupaa zaidi Hongera sana.

MASANJA342

MASANJA344 MASANJA332

wali-531

MASANAJA332

FC

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364