-->

Kutana na Wastara Ndani ya Karibu Dar

kARIBU DAR

FILAMU ijulikanayo kwa jina la Karibu Dar ipo tayari na sasa inaingia sokoni siku ya Jumatatu kwa kishindo sinema hiyo ambayo kinara wake ni Wastara Juma ‘Stara’ ni kazi nzuri na yenye stori ya kuvutia na inasambazwa na kampuni ya Splash Entertainment ya jijini Dar es Salaam.

Sinema ya Karibu Dar imewashirikisha wasanii wakali kama Wastara Juma, Tizo Mkwepu, Nassor Ndambwe, Kibabu Mkomwa na wasanii wengi wakali wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu. Hii si yakukosa.

Karibu Dar786

 

karibu Dar32

 

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364