-->

Lulu Azushiwa Kifo Kwenye Mitandao ya Kijamii

Msanii wa filamu Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesikitishwa na watu ambao wamemzushia kifo katika mtandao wa kijamii.

LULU3455

Mtandao mmoja uliandika ‘Picha 40 na video za msiba wa msanii wa bongo movie hizi hapa . RIP Elizabeth’.

Baada ya kauli hiyo, Lulu kupitia instagram aliandika

Nasikia Nimekufa
Wewe uliyePost hii. Kama wewe utakuwepo TUTAONANA TENA 2017 Inshaallah
Alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri kwanza
(Niki report LIVE kutoka heaven)
This shows how Jina Langu lina KiKi?nishasema MNIACHE JMN?watsup!???
Kufa ntakufa SIKATAI lkn mpk nimalize MIAKA ILIYOANDIKWA KWENYE BIBLIA

Bongo5

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364