Filamu ya Kasanga Naye Mwana Yaingia Sokoni Leo
ILE Filamu ya Kasanga naye mwana imeingia leo sokoni na kusambazwa nchi nzima akionge na FC Nassor kutoka kampuni ya Steps Entertainment ya jijini Dar es Salaam amesema kuwa filamu hiyo inaptaikana katika maduka yote ya filamu na Bongo movie Shop kila mkoa.
Filamu ya Kasanga Naye Mwana imeingia leo sokoni na inapatikana katika maduka yote ya filamu za kibongo pamoja na Bongo Movie shop ambayo yapo kila mkoa chini ya Steps Entertainment.”anasema Nassor Sharowastara.
Filamu hiyo ya Kasanga Naye mwana imewashirikisha wasanii nyota katika tasnia ya filamu Swahilihhod kama Zubery Mohamed ‘Niva’, salim Ahmed ‘Gabo zigamba na wasanii wengine wakali wanaofanya vema katika tasnia ya filamu Bongo.
FC