-->

Mama Diamond Afungukia Diamond Kuhusishwa na Ujauzito wa Hamissa Mobetto

Baada ya kuwepo kwa story ambayo inaendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mwimbaji staa Diamond Platnumz amempa ujauzito Hamisa Mobetto na kumnunulia gari, mama mzazi wa staa huyo amefunguka.

Hamisa Mobetto

Kupitia kwenye U-heard ya XXL ya Clouds FM leo June 9, 2017 mtangazaji Soudy Brown baada ya kuwakosa Diamond na Hamisa Mobetto alipiga story na mama mzazi wa Diamond kuhusu issue hiyo:

>>“Umempa wewe? Napatana naye. Mimi napatana na kila mtu. Ananiona nuski, mbona unataka nionake na mimi mbea? Mimi nakuambia sinaga mambo hayo ya kukaa na watu kumuongelea mtu. Mimi napatana na Zari aliyeniletea watoto.” – Mama Diamond.

Millardyayo.com

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364