-->

Maneno Haya ya Christian Bella Yawashangaza Wengi

Kama wewe ulikuwa ukiamini msanii Christian Bella kwenye ‘playlist’ zake lazima awasikilize wasanii wa Kongo inabidi uifute,’isue’ ni kwamba Bella sio mpenzi kabisa wa ngoma za dansi.

bella

Christian Bella amefunguka haya kupitia choudsfm.

‘’Kwasababu mimi napenda sana kusikiliza za wazungu ningependa kurudia wimbo wa ‘With U’ wa Chriss Brown mimi nina ngoma zangu kama hizo, sema mimi nimekulia kusikiliza muziki wa dansi lakini nilivyokuwa nikaacha kusikiliza kwenye gari yangu au nyumbani sina time ya kumsikiliza Fally Ipupa,Felle Gora kwasababu mimi tayari nina damu ya dansi kwa natakiwa kusikiliza muziki tofauti’’ Alisema Christian Bella.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364