-->

Maneno Haya ya Lulu Kwenye Picha Hii ya Waacha Hoi Mashabiki Wake

Hapa na Pale: Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaacha watu hoi baada ya kubandika picha hiyo hapo chini ikimuonyesha yeye na baba yake mzazi ‘Mzee Michael’ na kummwagia sifa baba yake huku akiomba dua aje kuzaa mtoto atakaye fanana na baba yake (Mzee Michael) kitendo ambacho kila shabiki yake mtandaoni alikuwa na yake ya kusema.

LULU542

Le Mbebe…! Le Super Handsome????Le Twinnie???
Mzaa Chema…Mzee Michael..!!!
Ewe Mtoto Wangu WA Kiume Popote ulipo Kama tumboni Kama kwenye mayai ya Uzazi au popote…Tafadhali rithi Kwa Babu yako utakapokuwa tayari kuja???”-Haya ndiyo maneno aliyoandika Lulu.

Ila ni kweli wamefafana.

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364