-->

Tuzo za H.Baba na Familiya Yake Zafanyika Jana, Picha na Washindi Hapa

HBABA41

Msanii wa muziki H.Baba akishirikiana na mke wake Flora Mvungi  jana Dec 20 Jumapili wamefunga ukame wa tuzo kwa kutoa tuzo zao baada ya kuona kila mmoja kati yao ana mchango kwenye muziki na Filamu.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika tukio hilo.

Mtoto wao anayejulikana kwa jina la Tanzanite akipokea tuzo yake

Mtoto wao anayejulikana kwa jina la Tanzanite akipokea tuzo yake

H.Baba na mke wake Flora Mvungi wakikabidhiwa tuzo ya Best Couple of the year iliyodumu mwaka 2015

H.Baba na mke wake Flora Mvungi wakikabidhiwa tuzo ya Best Couple of the year iliyodumu mwaka 2015

Kushoto ni Flora Mvungi akimkabidhi msanii wa Bongo Movie, Riyama tuzo ya Best Artist Female of the year

Kushoto ni Flora Mvungi akimkabidhi msanii wa Bongo Movie, Riyama tuzo ya Best Artist Female of the year

H.Baba akimkabidhi Dully Sykes tuzo ya Best Artist of the year 2015

H.Baba akimkabidhi Dully Sykes tuzo ya Best Artist of the year 2015

Chanzo:millardayo.com

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364