-->

Mapya yaibuka kifo cha Ndikumana

Siku chache zikiwa zimepitatangu mchezaji wa soka wa Rwanda Hamad Ndikumana ambaye pia alikuwa mume wa muigizaji wa filamu Tazania Irene Uwoya, mapya yameibuka kuhusu kifo chake cha ghafla kilichoacha majonzi kwa wapenzi wa soka.

Marehemu Ndikumana

Mdogo wa marehemu Ndikumana Laddy Ndikumana ambaye pia ni mcheza soka, amesema wanaamini kifo cha kaka yake (Ndikumana) kimesababishwa na kuwekewa sumu na watu ambao hawajawataja ni kina nani.

Akipiga stori na Planet Bongo ya East Africa Radio, Laddy amesema wao kama familia wana imani kifo chake kimesababishwa na watu, na sio matatizo ya moyo kama ilivyoelezwa.

Msikilize hapa chini akisimulia

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364