-->

Tag Archives: MASANJA

Masanja: Sikukurupuka Kugombea Ubunge Ludew...

Post Image

Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji amesema akukurupuka kuwania ubunge wa jimbo la Ludewa, mkoani Njombe kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo Deogratius Filikunjombe kufariki kwa ajali.   Akizungumza katika kipindi cha Uhondo cha EFM Alhamisi hii, Masanja alizungumzia kitu ambacho kilimkwamisha kupata didhaa ya kugombea ubunge kupitia chama hicho. […]

Read More..

Masanja Aeleza Jinsi Alivyoupata Uchungaji

Post Image

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji amefunguka na kuzungumzia jinsi alivyoupata uchungaji wake. Masanja ambae kwa sasa anaendesha huduma ya ‘Street Gospel’, amekiamba kipindi cha Uhondo cha EFM kuwa imani yake ndio imemfanya kuwa mchungaji. “Uchungaji upo wa aina mbili, kuna wa kuoteshwa na wakusomea. Kwa mfano ukiangalia mapadri wa Roman hakuna Padri […]

Read More..

Masanja Azidi Kupaa Kibiashara Azindua Masa...

Post Image

MCHEKESHAJI wa Komedi kutoka Orijino Komedi Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji amezidi kujikita katika mkasuala ya biashara baada ya kufanikiwa kufungua mgahawa wa kisasa kabisa kwa ajili ya maakuli na kuwa kivutio kwa maeneo hayo.   Masanja Mkandamizaji amezindua Mgahawa wake wa Kisasa kwa kuandaa sherehe za uzinduzi kwa kuwakaribisha wadau mbalimbali Mgahawa huo unaoitwa […]

Read More..

Masanja: Mimi Ni Mchungaji, Lakini Mbinguni...

Post Image

Emmanuel Mgaya, maarufu kama “Masanja Mkandamizaji” aliyejizoelea umaarufu katika fani yake ya uchekeshaji na kundi lake la “Ze Comedy” kwa sasa amegeukia kazi ya ushehereshaji na Uchungaji. Katika moja ya Kazi yake hivi karibuni Masanja akiwa MC katika tukio fulani alitoa mpya baada ya kuwashangaa waimbaji wa Kigali-Rwanda wa kwaya ya “AMBASSADOR OF CHRIST” ambao […]

Read More..

Masanja Mkandamizaji Kufungua Kituo Chake c...

Post Image

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameweka wazi mpango wake wa kufungua kituo cha Radio na TV ambavyo atavisimamia yeye mwenyewe. Akizungumza na 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm Alhamisi hii, Masanja alisema tayari ameshapata mafunzo ya uandishi wa habari ili kujifunza kuhusu kuendesha vituo hivyo. “Yeah nimepanga kufungua kituo changu […]

Read More..

Masanja: Nimenunua BMW X6 Kama Mtu Mwingine...

Post Image

Mchekeshaji wa Orijino Komedi na mjasiriamali, Masanja Mkandamizaji amesema kila anachomiliki amekinunua kwa pesa yake halali huku akishangaa kwanini watu wameshtuka baada ya kuona anamiliki BMW yenye plate namba ya jina lake. Akizungumza katika kipindi cha 360 cha Clouds TV Ijumaa hii, Masanja alisema anamiliki magari mengi huku akidai BMW X6 ameinunua kama mtu mwingine […]

Read More..

Masanja Arusha Kijembe , Madai ya Kusakwa n...

Post Image

Kufuatia taarifa za ‘udaku’ kuenea kuwa maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wana msaka mchekeshaji, mwimba nyimbo za Injili na mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji kwa madai kuwa mbali ya kumiliki magari zaidi ya sita huku taarifa za kodi zake hazionekani, staa huyo hivi karibuni anadaiwa kununua gari la kifahari aina ya Toyota Land […]

Read More..