-->

Mimi Ndiye Msanii Nianyefanya Vizuri Sokoni-Ray

MWIGIZAJI anayefanya vizuri zaidi sokoni katika soko la filamu nchini, Vicent Kigosi anasema kushuka kwa soko la filamu nchini na kukosa ushindani ambao ulikuwepo hapo awali.

Akifafanua zaidi  alisema tofauti na zamani filamu zilikuwa zikizungumziwa zaidi sababu ya ushindani wake mkubwa na marehemu Steven Kanumba.

ray32

Kigosi anasema kipindi hicho ya filamu kutoka kulikuwa na mambo mengi wakifanya ambayo hufanya watu waizungumzie kazi zao kutokana na ushindano wao.

alisema tofauti na sasa wasanii wengi wamekosa ubunifu katika kazi zaona kutengeneza, hatmaye wamekuwa chanzo cha kupoa kwa kazi ya sanaa kiasi changinekusema zimekufa.

Hata hivyo alisema kwasasa amebaki kama muigizaji  anayefanya vizuri zaidi sokoni katika soko la filamu nchini, Vicent Kigosi anasema kushuka kwa soko la filamu nchini na kukosa ushindani.

Kigosi alifafanua zaidi kwa mwandishi wa safu hii, alisema tofauti na zamani filamu zilikuwa zikizungumziwa zaidi sababu ya ushindani wake mkubwa na marehemu Steven Kanumba.

Alisema kabla ya filamu kutoka kulikuwa na mambo mengi wakifanya ambayo hufanya watu waizungumzie kazi zao kutokana na ushindano wao.

alisema tofauti na sasa wasanii wengi wamekosa ubunifu katika kazi zaona kutengeneza, hatmaye wamekuwa chanzo cha kupoa kwa kazi ya sanaa kiasi changinekusema zimekufa.

Hata hivyo alisema kwasasa amebaki kama msanii mkubwa anayeinua vipaji vya wa wasanii wengine kama ilivyokuwa katika filamu yake mpya ya Tajiri mfupi.

”Baada ya kuingiasokoni kwa filamu hii ya Tajiri mfupi , kila mtu atakuwa akimwongelea msanii mwingine Chodo ambaye ameshika nafasi kubwa” alisema.

Pia alisema katika filamu hiyo inayoingia sokoni Feb 29 mwaka huu, kutakuwa na wasanii wengine kama Mwogomchungu, Chodo, Mr Kupa na wasanii wengine wachanga.

 

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364