-->

Mzee Majuto Aibukia Kwenye Bongo Fleva

Vunja mbavu! Komediani the big name Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’ (68) ameibukia kwenye Muziki wa Bongo Fleva baada ya kushirikishwa kwenye ngoma inayokwenda kwa jina la Baba na Mjukuu Wake (mtoto wa mtoto wake wa kumzaa), Emmanuel Ernest ‘Dady.’

MAJUTO22
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Mzee Majuto, mbali na kumsifia Dady kuwa ana kipaji cha uimbaji, alifunguka kuwa watu wengi hawajui tu lakini ana vipaji vingi ikiwemo uimbaji kama ilivyo kwenye uigizaji na utunzi wa sinema.
Chanzo:GPL

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364