-->

Tag Archives: MZEEMAJUTO

Kuvunja Watu Mbavu…Mzee Majuto ‘Katusua...

Post Image

Maarufu Bongo, Amri Athumani ‘King Majuto au Mzee Majuto’. Kila mtu na mtoko wake, mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athumani ‘King Majuto au Mzee Majuto’ anatengeneza mkwanja mrefu kwa kuwavunja mbavu watu. Leo ndiye ana husika katika makala yetu ya utajiri na utapata kujua ni vitu gani anavyomiliki kupitia sanaa yake hiyo. Toyota Noah Mzee Majuto: […]

Read More..

Majuto Awataka Wasanii Wafanye Haya

Post Image

MCHEKESHAJI mkongwe nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, amefunguka na kudai kwamba kuna baadhi ya wasanii wa filamu wanafanya kazi zao bila ya kuwa na lengo la kuelimisha jamii zinazowazunguka. Msanii huyo amedai kwamba, wasanii wengi wapo kwa ajili ya kufurahisha watu lakini wanasahau kwamba wanatakiwa kuelimisha jamii kwa kuwa wao ni kioo cha jamii. “Ukiangalia […]

Read More..

Mzee Majuto, Asha Boko na Mzee Majanga Waki...

Post Image

Wakali wa ‘comedy’ kwenye tasnia ya Bongo Movies, Mzee Majuto, Asha Boko na Mzee Majanga wamefanya kweli kwenye filamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Pauka na Pakawa inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ambapo unaambiwa “Zama za kale  Paka na Mbwa walipendana sana, hawakuona tofauti iliyopo kati yao. Na siku walipojuzwa tofauti zao, ndipo vita ikaibuka…” […]

Read More..

Mzee Majuto Aibukia Kwenye Bongo Fleva

Post Image

Vunja mbavu! Komediani the big name Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ au ‘King Majuto’ (68) ameibukia kwenye Muziki wa Bongo Fleva baada ya kushirikishwa kwenye ngoma inayokwenda kwa jina la Baba na Mjukuu Wake (mtoto wa mtoto wake wa kumzaa), Emmanuel Ernest ‘Dady.’ Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Mzee Majuto, mbali na kumsifia Dady […]

Read More..

Majuto: Kuhiji Kunanipa Wakati Mgumu wa Kui...

Post Image

MSANII nguli wa vichekesho nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’, amesema anapata shida na aina ya uigizaji kwa sasa baada ya kwenda kuhiji na kuwa Alhaji. Akizungumza jana katika Ofisi za New Habari, King Majuto, alisema   unapokwenda kuhiji unatakiwa kufuata sheria za dini na mambo yenye hekima na kujiepusha na vitu ambavyo havitakiwi kwenye dini. “Vitu […]

Read More..