-->

Namshukuru Mungu kwa Mara ya Kwanza Nimepata ‘Comments’ Nzuri-Faiza Ally

staa wa Bongo Movies na mkali wa ‘baby mama drama’ , Faiza Ally amemshukuru Mugu baada ya mashabiki wengi kumuandikia comment nzuri mtandaoni kwa posti yake akiwa amevalia ‘kidenti’ akiwa kwenye studio za EATV usiku wa jana tofauti na posti zake za nyuma.

faiza25

Nachukua nafasi hii kumshukuru M.Mungu mwingi wa rehma kwa kuwa naona kwa mara ya kwanza katika comment zaidi ya mia 300 zote ni nzuri kasoro 3 kwa mimi ni kitu kikubwa maana kwenye maisha yangu mara nyingi nimekua mtu wa kujajiwa na kutukanwa kwa sababu tu nimechagua kuwa tofauti…

All in all inaonyesha jinsi gani watu ni rahisi kukujaji na inachukua muda kukuelewa na sasa naona baazi ya watu wanaanza kunielewa na asante wote mnao chukua muda kunisoma na zaidi wale wanao niambia….ninacho waahidi wale walio nikubali wala hawajapotea kabisa na kuna faida nyingi kupitia maisha yangu – na katika kipindi changu kuna mengi ya kujifunza kupitia maisha yangu …. Kitakua kipindi kizuri chenye uhalisia na kitakacho kufanya ujisikie uhuru kwenye maisha yako…

Na kukubali hali yako na kufurahia maisha kwa uwezo wako na zaidi vitu muhimu kuzingatia katika maisha yako ikiwemo kufanya vitu vinavyo kupa furaha bila kujali watu … Maana walio wengi hata ukimuuliza anapenda nini hajui…na pia kuna vitu muhimu vya kuzingatia kuliko kuishi kwa ajili ya macho ya watu… Na bila kusahau huwezi kukubalika kwa watu na si lazima maana tumeumbwa tofauti na uwezo wetu wa kutambua haufanani kiufupi ni kuishi huru bila kumzuru mtu wala kuvunja sheria za nchi na kufanya yalio muhimu tu….NAWAPENDA WOTE

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364