-->

Tag Archives: FAIZA

Faiza Aonya Mastaa Kuibiana Mabwana

Post Image

MREMBO ambaye jina lake lilivuma zaidi baada ya kutinga na ‘pampers’ kwenye sherehe yake ya kuzaliwa, Faiza Ally, amewaonya mastaa wenzake kuacha kutafuta umaarufu (kiki) kwa kuibiana mabwana. Akizungumza na mwandishi wetu, Faiza ambaye ni mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, alisema anatambua mastaa wengi ustaa wao hauji kwa kufanya […]

Read More..

Faiza wa ‘Sugu’ Aomba Radhi, Azindua Ki...

Post Image

MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amezindua kipindi cha runinga kiitwacho ‘Stars’ ambacho kitakuwa kikizungumzia maisha yake. Akizungumza katika kipindi cha Friday night live kinachoongozwa na mtangazaji, Sami Misago, wakati akitambulisha kipindi hicho alisema kitaanza kuoneshwa Jumanne katika kituo cha Eatv na kitahusu maisha yake ya kila siku. “Kipindi changu kipya kitakuwa kikiitwa ‘Stars’ na […]

Read More..

Namshukuru Mungu kwa Mara ya Kwanza Nimepat...

Post Image

staa wa Bongo Movies na mkali wa ‘baby mama drama’ , Faiza Ally amemshukuru Mugu baada ya mashabiki wengi kumuandikia comment nzuri mtandaoni kwa posti yake akiwa amevalia ‘kidenti’ akiwa kwenye studio za EATV usiku wa jana tofauti na posti zake za nyuma. Nachukua nafasi hii kumshukuru M.Mungu mwingi wa rehma kwa kuwa naona kwa […]

Read More..

Faiza Atumia Njia Hii Kumfikishia Ujumbe Ba...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenzie na Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameamua kutumia mtandao wa instagram kumfikishia ujumbe mzazi mwezie kuhusu matunzo ya mtoto kwa madai kuwa kwa sasa hawana mawasiliano. Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao huo, Faiza aliweka video ya mtoto wao Sasha akimuomba hela baba yake (Sugu) yakusukia nyewele […]

Read More..

Faiza :Watu ‘Fake’ Wana Haribu Vizazi V...

Post Image

Hakuna kitu nachukia duniani kuliko vyote kama watu fake – watu fake duniani wana haribu vizazi vyetu…..wanatabia zote mbaya na umaskini juu maana unapo kuwa fake unakua mjinga na ujinga ni umaskini na hata kutoka kimaisha ni ngumu na ukitoka hata ukiwaje mwisho wa siku unarudi chini coz watu fake there is where they belong- […]

Read More..

Faiza Ally Afungukia Mavazi Yake na Kushaur...

Post Image

Inawezekana kuvaa nguo fupi au bikini ni tatizo hasa ktk upande wa imani zetu kutokana na maamrisho ya vitabu. Lkn Lkn hakuna tatizo kubwa kuliko kumtangazia mtu sifa mbaya – unapo sema maneno mabaya unatengeneza sumu mbaya sana kwenye mioyo na fikra za watu…tofauti na yale mavazi maana akisha vaa anavua mwisho wa siku ni […]

Read More..

Faiza Awachanganya Mashabiki Hukuhu Kifo

Post Image

MSANII wa filamu nchini, Faiza Ally, amewachanganya mashabiki wake baada ya kuandika kwenye akaunti yake ya Facebook na kudai kwamba amefariki. Hata hivyo, msanii huyo amesema kuwa aliandika hivyo kutokana na kuchukizwa na waongozaji wa filamu yake mpya ambao wanachelewesha kufanya kazi hiyo. “Sikuona kama ni tatizo kuandika hivyo na baadaye ndugu na jamaa wakajua […]

Read More..