-->

Nape Nnauye Asimulia Maneno Haya Aliyoambiwa na Kikwete

Nape Nnauye

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye leo April 9 2017 amekutana na wazee wa jimbo la Mtama na kuzungumza nao. Kati ya vitu amezungumza ni pamoja na kusimulia kipindi alipoteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Masasi na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete.

 

Millardayo

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364