‘Ninja’ Kisa cha Mapenzi Toka China Hadi Bongo, Kuingia Sokoni
Ninja Revenge of Love ni kisa kinachomkuta Mr potlee ambaye mara baada ya kutoka China anaonekana na mwanamke wa kichina wakati Tanzania ana mwanamke ambaye ni askari wa jeshi la polisi Tanzania ,je nini kitatokea?
Filamu ya Ninja Revenge of Love chini ya usambazaji wa Steps Entertainment itaingia sokoni kesho kutwa tarehe 04.01.2016.
Jipatie nakala yako.