Nisha Alia Tena, Amfungukia Baba Kijacho
Staa wa Bongo Movies, Nisha kwa mara nyingine tena ametoa kilio chake kwa mwanaume aliyembebesha ujauzito alionao hivi sasa na kuachana.
Nisha ambae hadi sasa ni ‘single parent’ amefunguka kwenye ukurasa wale wa Instagram kuwa atamlea mtoto ajae kama alivyomlea mtoto wake wa kwanza.
“Mwanzo nlisema ok nitashinda..but siku baada ya siku najua atahitaji kukujua..kikubwa zaidi upo kwenye dunia ya kutazamwa,atakutazama na atakusikia.. ila i promise u kama usivyojua km hii ni yako au ya mwenzako I PROMISE U NI SIRI NTAKAYOKUFA NAYO na kwa bahati nzuri ujumbe unawahusu nyote so tesekeni kujiuliza km mm nnavyoteseka usiku mwenyewe.. as long as IPTYSAM nimemlea mwenyewe..na huyu ni wa kwangu mwenyewe… GOD BLESS U”-
Nisha aliandika mtandaoni na kuweka picha kuonyesha tumbo lake